Lead

Sep 18 15 11:16 AM

Tags : :

Wakati Dakta Magufuli akipewa kibali cha kuwa Dakta... Mama naye alikuwapo 
image

Hizi ni picha mbili za Dakta John Pombe Magufuli. Moja akiwa anapewa hiyo digrii yake na balozi Kazaura na nyingine akiwa na mama yake mzazi Susan Mussa (katikati) na mkewe janeth wakati wa mahafali 39 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 
image
SOURCE: YUSUF BADI WA DAILY NEWS