Lead

Sep 18 15 11:24 AM

Tags : :

LEMA ASEMA LOWASSA NI FISADI: Ni heshima Kubwa kwa Mungu kumzomea Fisadi Moja ya hotuba za Mh. Godbless Lema katika kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Arumeru Mashariki. Lema alikuwa akizungumza na Wananchi wakati wa kufunga kampeni za Chadema katika uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki

Mh. Lema ASEMA:1. Lowassa ni FISADI
2. Mtoto wa Lowassa katoboa masikio kama Shoga
3. Lowassa ni MNAFIKI
4. Lowassa ashinikizwa kujiuzulu kwasababu ni FISADI