Lead

Sep 18 15 11:43 AM

Tags : :

image
image=x-largeMaria B Malongo   =largeMaria B Malongo ninasikitika sana, kutangaza kifo cha mdogo wetu Esther Malongo kilicho tokea tar, 16/9 Greece. Marehemu ameugua muda mfupi tu, hata mauti ilivyo mkuta. 
Wapendwa wangu tafadhali ninawaombeni msaada kwa ajili ya kumsafirisha marehemu kwenda Tanzania, Natanguliza shukurani zangu
Kwa yeyote anayeguswa na msiba huu, tutakutana tarehe 20/9 saa 18"50 jioni 
Flygarevägen 7, Höllviken. kwa wale ndugu na jamaa wa Stockholm wanaweza kuwasiliana na Lucy Kessy. Karibuni sana.