Lead

Sep 22 15 6:06 AM

Tags : :

  
=x-smallimage
=x-small Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba tayari kuhutubia wakazi wa Manispaa ya Bukoba.
image
 Umati wa wakazi wa manispaa ya Bukoba wakiwa wamefurika katika viwanja vya Gymkhana kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .
image
 Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa manispaa ya mji wa Bukoba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha bei ya Kahawa inapanda, ujenzi wa viwanda mbali mbali katika kukuza uchumi na ajira. 
image
 Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia wakazi wa Bukoba mjini.
image
 Wakazi wa Bukoba mjini wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
image
 Huo ndio umati ukimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli 
image
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba mjini Ndugu Hamis Kagasheki akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambazo mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
 
image
 Msanii Bushoke akitumbuiza wakazi wa manispaa ya Bukoba kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambao mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
image
 Yamoto Band wakishambulia Jukwaa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Bukoba.
image
 Fid Q akishambulia jukwaa na nyimbo za hiphop wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Bukoba mjini.
image
 Diomond Platnumz akishambulia jukwaa kwenye kampeni za CCM Bukoba mjini.
image
 Halima Bulembo Mbunge mteule kupitia vijana akihutubia wakazi wa Bukoba kwenye mkutano wa kampeni kulia kwake ni mbunge mteule anayewakilisha wazazi kutoka mkoa wa Bukoba Oliva Semguruka.
image
 Mr.Blue akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Bukoba.
image
Wanaume TMK wakishambulia jukwaa kwenye kampeni za CCM Bukoba mjini. Posted by Africa News Headlines